100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Lakini Plepole alishasema ana ndugu yake ambae alikuwa anafuatiliwa na gari, akawapiga chenga, akasema ndugu yake huyo ana mafunzo na ana situational awareness.. hopefully ni huyu..
Angekuwa hana undugu nae familia ingejitokeza na kukana..Huyu jamaa hayupo sawa kichwani . Anatafuta kiki tuu nadhani hana hata undugu na polepole anatembelea upepo tuu..
Kunaanza kuchangamka, Kanali hapoi wala haboi. Tutaelewana tu, ikibidi hata drones zitaanza kutumika kufikisha ujumbe.Wakuu,
Kuna habari gani kuhusu huyo Mafwele, naona mapichapicha tu huko mtandaoni! Kweli jamaa aliingia kwenye kumi na nane za Kanali?
Baada ya kaka wa Augustino Polepole kuongea mchana wa leo, amerusha tena video nyingine akisema amepata habari wanataka kumhamisha Polepole kutoka hapo Kigamboni wanapomshikilia, akiongeza kuwa wakimhamisha, watakiona cha mtema kuni.
Augustino anasema maagizo aliyotoa ni mdogo wake arudishwe kwa mama yake na sio vinginevyo. Wakishupaza shingo basi "Atawahamisha" wao kwanza!
Likitokea hili patachangamka sana' na hasa ma-drone hayo yakielekezwa penyewe hasa!Kunaanza kuchangamka, Kanali hapoi wala haboi. Tutaelewana tu, ikibidi hata drones zitaanza kutumika kufikisha ujumbe.
Get some sleep, You looked tired,
Huyu Hana lolote, muda si mrefu nae tutasikia ametekwa kama Mdogo wake. Mikwara mingiWakuu,