Augustino Polepole: Najua Humphrey Polepole yupo Kigamboni, mumpeleke kwa mama yake, mkimhamisha mtajuta

Kunaanza kuchangamka, Kanali hapoi wala haboi. Tutaelewana tu, ikibidi hata drones zitaanza kutumika kufikisha ujumbe.
 
Ubaya wa hawa akina Polepole ni wabinafsi mno.

Wao wanaona masaibu yanayowakabili wao na si waTanzania wengine wote. Hii ni shida sana!
 
Kunaanza kuchangamka, Kanali hapoi wala haboi. Tutaelewana tu, ikibidi hata drones zitaanza kutumika kufikisha ujumbe.
Likitokea hili patachangamka sana' na hasa ma-drone hayo yakielekezwa penyewe hasa!

Ikitokea hivyo hata mimi nitashangilia.
 
Kina grishoni wanavyopenda post unanzani wangekaa kimya kuhusu mafwele ungesikia habari hizi ni FAKE kwakua wapo kimya mpaka sasa hii habari ya mtejaji kutekwa ipe asilimia 50 maana pengine wao wenyewe wameamua mgeuka kuona uyu kimeo tukienda mahakama za kimataifa atatuchomesha so wanamua mtoa sadaka
 
Huyu Hana lolote, muda si mrefu nae tutasikia ametekwa kama Mdogo wake. Mikwara mingi
 
KUNA MUDA NAMDHARAU ILA KUNA JAMBO NAJIULIZA KAMA ANGEKIA MCHOVU, WAJEDA WASINGE TOLEWA MIPAKANI KWENDA KULINDA MABARABARA, HADI KARIAKOO KWA MAWINGA NA MASHINE FULL, WE UNAWEZA PIGA BITI, WATU WAKAJIHAMI HIVO?

MBONA HATEKWI? NANI ANAEMPA TAARIFA? USHA WAHI SIKIA KUKANUSHWA KWA TAARIFA ZAKE AU KUONGELEWA? MBONA WANAJIHAMI AKIONGEA? MKUU SIMBA MWENDA POLE NDO MLA NYAMA HUYU ATAIBUKA SHUJAA MWISHONI, TUNZENI HILI, ALIKUWEPO DKT SHIKA HAIKUCHUKUA MUDA TULIJUA TU NI TAPELI, JE HUYU MWAMBA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…