Aunt Ezekiel afunguka kuhusu nyumba ya kupanga

Mwenye nyumba kapanga...
 
Mesuma na mjini na kigamboni na mjini vipi umbali?Nataka kujua nyumba yake ya kigamboni ilipo.
Mjini kunakotajwa na Wasanii ni Kinondoni, Magomeni, Masaki, na labda Kariakoo maeneo ambayo wao ndiko "soko" lao liliko.
Hamaanishi mjini ya Posta maana aina ya shughuli zao wanazozifanya hazina dili sana Posta
 
Bongo bwana, sasa akiwa kapanga au kaazimwa watu wengine yanawahusu na nini? Watu wanakosa ya kufanya tu
 
Nimetoa macho labda anaishi kimbiji Mwisho
Anaishi kigamboni darajani dk 30 ukiwa na gari binafsi unafika kariakoo nauli ya daladala ni 400 labda kwa kuwa hakuna wauza chips wakubwa kama waliopo zinza,kinondoni,magomeni,ilala,mwenge n.k
 
Ally kiba naye ni bingwa wa kupanga, tunaye hapa segerea chama [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…