Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moze sauti hanaboraa mapajaa ilaa ile sauti ndo inaniachagaa hoi yaan ya huyo cookie wao ni nzito kuliko ya baba
Na utoto pia,he doesn't act like a real man,kujichekesha kama a lady![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moze sauti hana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba jaden na mama cuki ,pwagu na pwaguzi
katika couple sizipendi ni hii[emoji23][emoji23][emoji23]
aunty mpeleke mose gym maana kawa na mapaja kama ya kwako..
hata akicheza anapoteza mvuto kabisa[emoji23][emoji23]!!!
Wapo ila wana HELA?Hivi huko Dar hakuna wanaume, na Iyobo naye wa kugombaniwa?
Wamemkalia chapati![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] moze sauti hana
kuna namna hapo! Sijui anawafanyaga nini au zile samasolt za stejin akiziapply kitandani watu hoiiiiHivi huko Dar hakuna wanaume, na Iyobo naye wa kugombaniwa?
Muulize Simba hajafuta namba yakeIyobo ni nani hapo Dar maana jina limekuja bila namba