Aunt Ezekiel ajibiwa, Mose Iyobo ni mwanaume mzuri kuliko wanaume wote?

Aunt Ezekiel ajibiwa, Mose Iyobo ni mwanaume mzuri kuliko wanaume wote?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msichana ambaye Aunt Ezekiel alikuwa anadai anataka kunyang'anya mume amemjia juu na kudai hana mpango huo na yupo karibu na Mose Iyobo kwa sababu wamezaa pamoja mtoto.

Msichana huyo amesema tayari nae ana bwana na kumshangaa Aunt Ezekieli kuzusha maneno anaibiwa bwana na kumuuliza kwani Mose Iyobo ana fedha kuliko wanaume wote au ni mzuri kuliko wote hadi yeye amnyang'anye??

baba jaden na mama cuki ,pwagu na pwaguzi
katika couple sizipendi ni hii[emoji23][emoji23][emoji23]

aunty mpeleke mose gym maana kawa na mapaja kama ya kwako..
hata akicheza anapoteza mvuto kabisa[emoji23][emoji23]!!!
 
Mambo ya kugombani mwanaume siku hz yamepitwa na wakati. Sijawahi na wala haitakaa nigombane na mtu kisa mwanaume. Mungu nisaidie niendelee kuwa na moyo huu huu wa kudharau bif za dizaini hiyo.
 
baba jaden na mama cuki ,pwagu na pwaguzi
katika couple sizipendi ni hii[emoji23][emoji23][emoji23]

aunty mpeleke mose gym maana kawa na mapaja kama ya kwako..
hata akicheza anapoteza mvuto kabisa[emoji23][emoji23]!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom