Aunt Ezekiel ajibiwa, Mose Iyobo ni mwanaume mzuri kuliko wanaume wote?

baba jaden na mama cuki ,pwagu na pwaguzi
katika couple sizipendi ni hii[emoji23][emoji23][emoji23]

aunty mpeleke mose gym maana kawa na mapaja kama ya kwako..
hata akicheza anapoteza mvuto kabisa[emoji23][emoji23]!!!
mungu anakuona hahhh ahhh
 
HV unaanzaje kugombania mwanaume afu tena staa[emoji15] [emoji15] ni kutojielewa nimemshusha hadhi gwantwa[emoji87]
 
michango mingi juu ya thread hii ni roho mbaya na chuki!mtu anaishi Leo hii unasema aende Gym kisa Ana mapaja makubwa!truly bado tuna safari ndefu.....mpaka maisha binafsi ya mtu yanajadiliwa tena sio mhalifu,akiiba je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…