afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,716
mkuu inasemekana wanaume ni wachache ..sio maneno yangundio inasemekanaHivi huko Dar hakuna wanaume, na Iyobo naye wa kugombaniwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu inasemekana wanaume ni wachache ..sio maneno yangundio inasemekanaHivi huko Dar hakuna wanaume, na Iyobo naye wa kugombaniwa?
nikuulize weyekuna namna hapo! Sijui anawafanyaga nini au zile samasolt za stejin akiziapply kitandani watu hoiiii
Umejipigia debeAunt Ezekiel una sura mwororooooo
Tuko pamoja ktk hili,sijawahi fanya na sitokaa nifanye huo ujinga.Mambo ya kugombani mwanaume siku hz yamepitwa na wakati. Sijawahi na wala haitakaa nigombane na mtu kisa mwanaume. Mungu nisaidie niendelee kuwa na moyo huu huu wa kudharau bif za dizaini hiyo.
mungu anakuona hahhh ahhhbaba jaden na mama cuki ,pwagu na pwaguzi
katika couple sizipendi ni hii[emoji23][emoji23][emoji23]
aunty mpeleke mose gym maana kawa na mapaja kama ya kwako..
hata akicheza anapoteza mvuto kabisa[emoji23][emoji23]!!!