Aunt Ezekiel amemnyima Unyumba Mose Iyobo ?

Aunt Ezekiel amemnyima Unyumba Mose Iyobo ?

Haya majina ya kizungu nayo, utampaje mwanao jina kama Cookie? It sounds like a porn star name to me. I'm sorry.
Yule porn star anaitwa Caramel, usichanganye.
 
Toto la gwiji wa Yanga Afrika linatingisha kibiriti tu, jamaa kwanza kajilipuwa, ili kuwa naye tu, aunt ezek ilibidi ashukuru, demu kaanza kuleta nyodo akisahau hayuko nnadaa kama zamani! Ila siwezi kumsahau huyu demu, alileta vurugu sana kwenye ndoa 2 au 3 kwa watu wanaojulikana!
Sina huruma na demu kabisa...
 
Huyo Caramel mi wala simjui, nilichosema ni kwamba, Cookie sounds like a porn star name.
Hata me nimeandika tu kama joke, ingawa kweli yupo Porn star mkongwe aliitwa Caramel.
 
Moses iyobo ndo yule aliyeshinda biko mzuka akaitwa kwenye ofisi ya m bet kwa yule muhindi kule Madagascar
 
Embu acheni kuleta topic za kimakuz hapa mie nshavulugukiwa
 
Dansa maarufu Bongo, Moses Iyobo, amesema kuwa kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuwa amenyimwa penzi na mzazi mwenzie Aunt Ezekiel hajaona kama kuna tatizo ingawa aliandika kama utani.

Akizungumza na gazeti hili, Iyobo alisema kuwa yeye na Aunt ni watu ambao wanataniana sana japokuwa tayari ni wazazi kwa hiyo hata alipoandika juzikati Instagram, alikuwa kwenye kuendeleza utani japo mashabiki wao wameipokea vibaya.

“Unajua watu wanashindwa kuelewa lakini mimi na mama Cookie (Aunt) tunataniana sana kwa hiyo hata kuandika vile ni kumtania tu sasa watu hawakuelewa naona wametoa povu kweli,”
alisema Iyobo.

Iyobo alikomenti kwenye video aliyoposti Aunt ikimuonesha akitembea akisindikiza na ujumbe wa neno ‘fresh’:
“Umeninyima penzi halafu uposti fresh?” alikomenti Iyobo.
Kijana unapenda mambo ya umbea tu, andikeni mambo ya maana, mtu kahoa tu ushaleta udaku wa Inst JF
 
Back
Top Bottom