Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Alifunguliwa mashtaka sijajua ila nadhani ni ile ishi za wanawake ma michezo unakumbuka la Nicole joycebelyKafanyaje?
KulikoniAsee hi dunia hii dunia hii
Kafanyaje af kama sio yeye vile....Asee hi dunia hii dunia hii
Kwaiyo kussah ameshindwa kufanya kituAlifunguliwa mashtaka sijajua ila nadhani ni ile ishi za wanawake ma michezo unakumbuka la Nicole joycebely
Sina hakika ila inshu ilio kua inamkabili ni michezo ya upatuKulikoni
Watasema ila nadhani ni inshu ya michezo ya kukusanya pesa za watu sijui wanawake wanajua hiyo, upatuKafanyaje af kama sio yeye vile....
Sipendi bongo movie na siangaliagi