The gens Atia, sometimes written Attia, was a minor plebeian family at Ancient Rome. The first of this gens to achieve prominence was Lucius Atius, a military tribune in 178 BC. Several of the Atii served in the Civil War between Caesar and Pompeius. The gens Attia of imperial times may be descended from this family, although its members lived nearly a century after the more notable Atii, and are not known to have been related.
Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
Muigizaji nchini, Aunt Ezekiel, amemmwagia sifa kedekede mumewe, msanii wa muziki Kusah, na kumwelezea kama mwanaume aliyeumbwa mahsusi kwa ajili yake kutokana na moyo wake wa kujitolea na kuwajibika kikamilifu katika familia.
Aunt Ezekiel aliyasema hayo jana jijini Arusha wakati wa maandalizi...
Mwigizaji na mfanyabiashara maarufu nchini, Aunt Ezekiel, ameonyesha kukasirishwa na vitendo vya baadhi ya watu kumwita jina la "Mshangazi", akisisitiza kuwa umri wake bado ni mdogo na haujafikia hatua hiyo.
Akizungumza kwa hisia kali, msanii huyo amewataka watu wa nje kuacha mara moja kumtumia...
"huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto.
Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.