Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
"huyu zuchu kajifungua Kwa Upasuaji kama Wema, Leo hii anakata mauno na watu hawaulizi kuhusu mshono, ila Kwa Wema kipindi kile kucheza tu na kupokea Wageni watu walikuwa wakiongea sana mara oooh hakuna aliye jifungua hapo, mara kaiba Mtoto.
Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema aliwakosea nini mtoto wa watu yule?" Ameuliza aunt Ezekiel.
Leo niwaulize kwanini Kwa Zuchu hamuongei, hivi Wema aliwakosea nini mtoto wa watu yule?" Ameuliza aunt Ezekiel.