Aunt Ezekiel heshimu wakubwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

mtakuja kushangaa atakapoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa fulani....Tanzania nchi yangu nakupenda sana
 
Wala msihangaike washauri....waendelea mtusi mh rais..kifo kiko njiani..akamuulize mch.
 
ccm ukiwa mtukanaj mzuri ni qualification ya kupanda vyeo! ni muendelezo waliojiwekea chaman ndo mana kila mtu anakua bize kutukana!!!
 

Wengine hatajayasikia hayo matusi tuambie alisemaje!?
 
Hakuna tatizo la wasanii kusherehesha kwenye kampeni hata kama ni bure huo ni uhuru wao. Tatizo ni pale wanapofanya kazi ya wanasiasa.
 
Naee si utukane,mbona unampangia mtu!sheria na taratibu si zipo jaman??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…