Aunt Ezekiel heshimu wakubwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

Aunt Ezekiel heshimu wakubwa, kuna maisha baada ya uchaguzi

mtakuja kushangaa atakapoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa fulani....Tanzania nchi yangu nakupenda sana
 
Wala msihangaike washauri....waendelea mtusi mh rais..kifo kiko njiani..akamuulize mch.
 
ccm ukiwa mtukanaj mzuri ni qualification ya kupanda vyeo! ni muendelezo waliojiwekea chaman ndo mana kila mtu anakua bize kutukana!!!
 
Dada Aunti Ezekiel,

Jaribu kuangalia mbele, heshimu wakubwa, Mh. Lowassa ni zaidi ya Baba yako, hustahili hata chembe kumtukana binti. Kumbuka hayo matusi hayana muda mrefu, mwisho wake ni tarehe 25/10/2015, lakini maisha yataendelea.

Kumbuka CCM inakutumia, matatizo yatakuwa yako binafsi na mjane mama yako.

UKAWA tunakutakia kila la heri katika kumtukana Mh. Lowassa ila MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Wengine hatajayasikia hayo matusi tuambie alisemaje!?
 
Hakuna tatizo la wasanii kusherehesha kwenye kampeni hata kama ni bure huo ni uhuru wao. Tatizo ni pale wanapofanya kazi ya wanasiasa.
 
Naee si utukane,mbona unampangia mtu!sheria na taratibu si zipo jaman??
 
Back
Top Bottom