Aunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?

bullshit washamba mambulula ... afu wale wanavaaga bikini nao mbele za watoto wao ??? apo kama sio chuki zenu nini tatizo ?
 
Binafsi sioni kama kuna tatizo maana anatusaidia kutengeneza vicheche wa siku za baadae. Dunia hii bila vischana vihuni vihuni haitaenda kabisaaa, magazeti ya shigongo yataandika nini????
sote hatuwezi kufanana
Escrow one umeshiba pesa zetu aisee
 
Ni kuonesha ubunifu.
Usikute mwenzako kazichanga akili zake kutoka na fashion hiyo.
Labda Mleta mada utuoneshe ni fashion gani inayoweza kuwa mbadala wake.
 
Duh..kama vipepeo vile.umleavyo ndo atakuwa hivyo hivyo
 
bullshit washamba mambulula ... afu wale wanavaaga bikini nao mbele za watoto wao ??? apo kama sio chuki zenu nini tatizo ?
Mimi sipo kwenye kuvaa nini mbele ya nani! Hujaelewa hata nilichoandika. Mimi comment yangu ime-base kwenye ''aunt'' mwenyewe! Nikasema Bongo ni tambarare hata dubwana kama hili lipo kwenye list ya warembo! Yapo mengi tu. Hata sijui Wema... hao wote na ''majumba'' yao kama wacheza mieleka ya sumo kwangu mimi si warembo wanaonivutia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…