Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mtoto mdogo anafundishwa kupenda fedha [emoji87]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamevaa myavuli.Amevaa mwanvuli
View attachment 763693
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu haya sio maadili mazuri mbele ya watoto wenu.
Mkuu nmecheka kwa sauti sanaDu Kweli Bongo nchi ya kipekee. Hili dubwasha nalo ndiyo liko kwenye kundi la warembo na ma-selebreti! Utafikiri ni cross-breeding ya tufe na bull dog!
Tatizo umezaliwa na kukulia biharamulo..Kuna shida gani hapo?akivaa hivyo wewe unakosa kitu gani?We fala alivyovaa ni sawa? Kuwa na akili
Huelewi wewe ndo maana, issue sio Mimi kukosa lolote Bali ni suala la kimaadili kwa mazingira yetu ya kitanzania.Tatizo umezaliwa na kukulia biharamulo..Kuna shida gani hapo?akivaa hivyo wewe unakosa kitu gani?
Escrow one umeshiba pesa zetu aiseeBinafsi sioni kama kuna tatizo maana anatusaidia kutengeneza vicheche wa siku za baadae. Dunia hii bila vischana vihuni vihuni haitaenda kabisaaa, magazeti ya shigongo yataandika nini????
sote hatuwezi kufanana
Wana waiga wazungu wakati miili yako sio kama ya dada zetu.
hahah nikupe mgao??Escrow one umeshiba pesa zetu aisee
Ni kama mnamtukana mtoto mdogo malaya. Hebu msihukumu msije mkahukumiwa nyinyi.kweli ..Malaya kamzaa malaya
Nikupe number?
Mimi sipo kwenye kuvaa nini mbele ya nani! Hujaelewa hata nilichoandika. Mimi comment yangu ime-base kwenye ''aunt'' mwenyewe! Nikasema Bongo ni tambarare hata dubwana kama hili lipo kwenye list ya warembo! Yapo mengi tu. Hata sijui Wema... hao wote na ''majumba'' yao kama wacheza mieleka ya sumo kwangu mimi si warembo wanaonivutia!bullshit washamba mambulula ... afu wale wanavaaga bikini nao mbele za watoto wao ??? apo kama sio chuki zenu nini tatizo ?