Aunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?

Anataka mtotot afuate nyayo zake, huoni hata yeye kavaa hivyo hivyo ?
 
Binafsi sioni kama kuna tatizo maana anatusaidia kutengeneza vicheche wa siku za baadae. Dunia hii bila vischana vihuni vihuni haitaenda kabisaaa, magazeti ya shigongo yataandika nini????
sote hatuwezi kufanana
Sure mzee, hajui maisha ya celebrity ni ajira kwa wengine
 
Ukisha kuwa star soni unaweka pembeni
 
hahahahh..
 
Hii ni thread ya watu waliokulia kijijini.
 
naona aunt ezekieli "" umekuja kujibu tuhuma "" kumbe na wewe upo Humu JF "" gud to knw that

No maam. Nilikuwa nakupa message tu, watoto ni innocents, hawawezi kuitwa malaya.
 
No maam. Nilikuwa nakupa message tu, watoto ni innocents, hawawezi kuitwa malaya.
kama hayo unayosema ni sahihi "" Jela za Watoto zipo kwa mantiki ipi sasa "" na ni vipi kuhusu wale Watoto wadogo "" wanaotumiwa na magaidi katika kufanikisha mbinu zao ovu
 
kama hayo unayosema ni sahihi "" Jela za Watoto zipo kwa mantiki ipi sasa "" na ni vipi kuhusu wale Watoto wadogo "" wanaotumiwa na magaidi katika kufanikisha mbinu zao ovu

Unayoyasema hapo bado hayana uhusiano wowote na kumwita mtoto wa miaka 5 malaya. That's vulgar and offensive my friend.
 
Wakati flani kuvaa nguo ni unafiki wa binadamu sababu kilichomo ndani kinachofunikwa hakuna asiyekijua, hivyo basi mtu kukaa mapaja wazi si jambo la kushadadia sanaa!
 
Kutembea uchi sisi hatukuwaiga wazungu ila wazungu ndyo walituiga sisi so,ukimuona m2 anatembea uchi ujue ameirudia asili yake!
 
Kutembea uchi sisi hatukuwaiga wazungu ila wazungu ndyo walituiga sisi so,ukimuona m2 anatembea uchi ujue ameirudia asili yake!

Kuna wauza madera wanahasira wakimuona mtu kavaa kimini. Wanaona wanawaharibia business, hasa hawa masupastaa wa Instagram .
 
Akiinama vipi...?

Bado unamwita mshamba aliyesema Aunt ni mshamba?
Leave ur life and let others do.Don't be selfish for trying to impose ur values to other people..
 
Msimhambulie, ndo kazi yake...u-model. so hapo yeye na mtoto wapo kazini. mbona hamshangai Tiffah kufunguliwa account ya Instagram bado hata hajazaliwa??? wabongo bwana
 
Unayoyasema hapo bado hayana uhusiano wowote na kumwita mtoto wa miaka 5 malaya. That's vulgar and offensive my friend.
sasa wewe wakati watoa essay yako ulisema kuwa una kusudia kundi la Watoto wa rika ipi "" au wajitoa ufahamu mkuu"" ??

SAMAKI AKUNJWE ANGALI MBICHI """
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…