Anataka mtotot afuate nyayo zake, huoni hata yeye kavaa hivyo hivyo ?View attachment 763693
Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?
Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu haya sio maadili mazuri mbele ya watoto wenu.