Sema umekwama. Ugali unafanya watu kuwa wajinga.Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi ameshajaribu wasukuma wala ugali wa dona kweli?
Wadada msiwe mnageneralize hao wa bao moja ni hukohuko tu.
Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.
Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
Sita unasafisha dhambi za mkeo amaHivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi ameshajaribu wasukuma wala ugali wa dona kweli?
Wadada msiwe mnageneralize hao wa bao moja ni hukohuko tu.
Automatically nimekuja kugundua ukiishi dar tayari hata nguvu za kiume zinapungua sijajua shida nini au joto.
Wanawake wa dar mkitaka bao tano basi nendeni kanda ya ziwa nawahakikishia mtapigika kama ngoma.
Kwaio hilo moja hua anakwambia amefika ?Hahaha au hana hisia na wewe unasaidiwa na wenzioKaongea ukweli ambao wengi huwa hawausemi!
Sasa kama nmepiga zangu moja nimeridhika na mwenzangu karidhika hayo mengine ya nini?
Hapo ni kulala ili kutunza energy ya kufikiria hela.
Alafu mwanamke unaweza kumpiga hata 10 kumbe yeye anaona unamchosha tu.
Cha muhimu ni je, hayo 10 yanamsaidia nini?
Unapiga 10 alafu hata kileleni hajafika ya kazi gani sasa?
Kabisa mzee unaweza piga moja refu na.kaz ikaishaNi ukweli usiopingika kwenye ndoa bao moja linatosha. Mimi huwa namfanya kila siku bao moja!
Yani wewe unasubiri mwnamke akwambie kwamba nmefika? Basi unadanganywa sana!Kwaio hilo moja hua anakwambia amefika ?Hahaha au hana hisia na wewe unasaidiwa na wenzio
DuuhNdio maana vitabu vya Dini vinakataza wanawake kushiriki na mwanaume zaidi ya m'moja kimahusiano na kimahaba.
Ikatokea mwanamke kabadili wanaume kama chupi mara kadhaa ndipo shida huanzia hapo sasa. Anazoea msisimko hadi kusisimuka kunakuwa ni kazi ya ziada. Ili umsisimue inabidi kutumia jitihada nyingi wakati kuna binti hapo ambaye hajachezewa kabisa ukimshika kiuno ukamchapa tako tatu tu anazimia kwa utamu na kutetemeka kama gari yenye miss kwenye muinuko.
Haya ni matatizo ya Auntie Ezekiel sio Kusah. Yeye akitaka kujua hilo amtafutie huyo mume wake binti mbichi wa miaka 19 halafu akae awatazame wakipelekeana moto aone balaa lake namna kijana atamwaga mabao zaidi ya round 2.
Mkuu mimi sili ugali wa aina yoyote.Endelea kula sembe