Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee

1258710795_aunt.jpg
 
Mkuu the Boss nadhani ni kuunge mkono katika hili !!!! Hawa si watu wa kutazama hata kidogo na mwingine ni Lady Jey Dee..!! Hata kutazama filamu zao sipendi wala kwenda kwenye miziki yao , Nikiwa ndani ya Bus wakiweka filamu au nyimbo zao huwa napata kichefu chefu kibaya utadhani nilikuwa kwenye bembea kama lile la Jamaica !!! Huwa naombaga wazime au wanipatie pillow nijifunike nisione wala kusikia..Sipendi Vicheche hao..!!!!

Mnajishaua tu, kwani wao wanawapenda???????? maneno ya wakosaji tu hayo, eti sizitaki mbivu hizi.
 
Nyie wote mnaoona huyu binti ana mvuto wa kipekee mna mioyo fufutele tu
Ninachoamini kila mtu ana mvuto wa kipekee bana, acheni habari zenu za kujiwekea habari wenyewe au mademu wenu halafu mnataka tuwapandishe chati
 
after all hizi picha hazionyeshi mvuto wa kipekee ila zinaonyesha ukahaba wa kipekee
 
Duuu demu amepata Promo ya nguvu! Wakwale msiingie peku peku Aunt Ezekiel machine imepiga Mileage kibao na Engine imeishafanyiwa overhaul kibao!

Duh! heheheheheee ... Comment imeniacha hoi kabsaaa! Heshima kwako mkuu.
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
i1425_jacp.jpg


Aunt Ezekiel na Jack Pemba wakila raha enzi hizo anachipukia kwenye fani

i1426_jacp2.jpg


mmh inaonekana Aunt Ezekiel ni mzuri sana kwenye mambo ya mahaba.

i1427_jacpmwanzo.jpg


Enzi hizo akiwa kipotabo kabla ya kuanza kula vinono vya wa nono.

i1428_jacpmwanzo1.jpg


hapa alikuwa anaonekana bado mchamba mchamba anaenda gwasumba na teneti sijui la wajawazito or ?

sio ushamba kuva dela, ni uwamuzi wa mtu, siku nyingine unaamua kubadilisha mavazi. Tatizo waswahili hamuishi kuongea, akivaa vipensi mnaanza oooh anavaa nguo za uchi, akivaa dela oooh mshamba sasa avae nini?????????????
 
Binafsi naomba thread hii iamishiwe kwenye Mambo ya Kikubwa otherwise wenye busara zetu tuta-resign. Mode upo au umeenda lunch Mazee???
 
Nimekuelewa BOSS, ila tukiweka pembeni tabia na mengineyo tukaangalia tu uumbaji wa Mola, una lipi la kusema?

Tukiweka tabia pembeni, Irene Uwoya ni mkali jamani...mi kuna wakati kama mara 3 hivi kidogo nimtupie sumu lakini roho inasita especially nikifikiria wife akipata habari!! Lakini kiukweli ni mkali
 
Ebwanaee!
Hizi picha si nzuri kwaq afya hasa kama hawa jamaa hawako pamoja..na ni mbaya zaidi kwa kuwa mwenye anammiliki Aunt akiona vile kitu Jack Bawa Pemba anavokula litaz anaweza kutangaza separation!.....
 
Back
Top Bottom