Aunt Ezekiel na Ray wamerudi CCM

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Vicent Kigosiaka Ray kuondoka UKAWA na kuhamia chama cha Mapinduzi.

Baada ya taarifa hizo kuchukua nafasi kubwa kwenye mitandao sasa ripota wa millardayo.com amezungumza na Steve Nyerere ambaye ni mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao.

"Ndugu zetu wakina Vicent Kigosi na Aunt Ezekiel walitoroka wamerudi CCM kabla hawajatangaza lakini watatangaza wamerudi kwa kishindo kikubwa wanaamini bila hapo walipofika bila nguvu ya Mh Jakaya Mrisho Kikwete wasingiweza kufika."

SOURCE: Millardayo.Com
 
Safi sana, wana haki ya kufanya hivyo. Wamegundua walipotea.
 
Bongo muvie haziuzi skuizi kwa mtonyo waliopewa lazma wange saliti
 
hiv kwa hil vuguvugu kuna msanii atakaemrudisha mtanzania mpenda mabadiliko nyuma!!!!!!

wajambe walale...waliondoka kna dr.mihogo waje hao mashogaaaa!!!
 

Inapofanyika kila liwezekanalo ili 'kuwarudisha' Ray na Aunt CCM...ujue hali ni mbaya sana kwa chama tawala. Ni sawa na mhanga anayesombwa na mafuriko, hata unyasi ataung'ang'ania akitaraji ndio utakao muokoa...hii ndio hali ya CCM kwa sasa!
 
Hao ni malaya ....wanaruka ruka tu hawajielewi...
Hivi unamnunuaje eti mtu milion 50 ...c hizo hela wangefanya maendeleo..madawatI..dawa...barabara..mishahara nk...wakiwanunua hao makahaba wanadhn ndio wataweza kutununua na sisi.??..mfa maji haishi kutapatapa..hii inaonyesha dhahiri kuwa hawana akili hao walotoa pesa kuwanunua...yn ni ujinga uliopitiliza..wache wanunuliwe ndio kawaida yao kujiuza na kutumika
 
Ray na Aunt mtakufa huku macho yakiwa yanatazama!
 
Anti ezekiel ndio yule anaelewa mpaka anajikojolea? amezaa na mkata mauno wa diamond wakati mume wake yuko jela
 

Yaani hao mazuzu wamepewa milioni 50? wangewapa buku kumi tu inawatosha...Lowasa Watanzania tumeshaamua kumpa nchi.
 
Huyo Anti na Ray ni mapunga tu..
Mtu mwenye akili timamu kwanza anakuwa na msimamo na pili hanunuliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…