Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Vicent Kigosiaka Ray kuondoka UKAWA na kuhamia chama cha Mapinduzi.
Baada ya taarifa hizo kuchukua nafasi kubwa kwenye mitandao sasa ripota wa millardayo.com amezungumza na Steve Nyerere ambaye ni mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao.
"Ndugu zetu wakina Vicent Kigosi na Aunt Ezekiel walitoroka wamerudi CCM kabla hawajatangaza lakini watatangaza wamerudi kwa kishindo kikubwa wanaamini bila hapo walipofika bila nguvu ya Mh Jakaya Mrisho Kikwete wasingiweza kufika."
SOURCE: Millardayo.Com