Rah ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani. Amina.may their soul rest in peace
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaona eeeh! Yaani alizitoa mimba mpaka ikawa mazoea kama kwenda haja kubwa!
ni shiidaHivi ni nini hiki jamani?
makonda sijui yupo wapi?Hivi hakuna sheria ya mtu kukamatwa akitoa mimba kwa makusudi? huyu si ametangaza hadharani kabisa!
Makonda au Nyalandu? tehe tehe tehe tehemakonda sijui yupo wapi?
Umechropoa ngapi wewe?Watu hawana haya kujitangaza kua wao ni wauwaji!!!!
Yeye ndio anayetoa majina kwa watoto wake na sio mme wakeMsanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi.
Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.
“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.
Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.
Mungu aepushilie mbali! Hamna sababu ya kunifanya nitoe mimba. Mungu akinijalia nikapata mimba ntailea kwa hali na mali.Umechropoa ngapi wewe?
9 au 11
Sema baadhi sio woteWanawake wana roho ngumu kama paka
AhahahhahaaaaUnaona eeeh! Yaani alizitoa mimba mpaka ikawa mazoea kama kwenda haja kubwa!
Hyo Mose hana hata sauti kwa Aunt, yupo kama simba mzeeYeye ndio anayetoa majina kwa watoto wake na sio mme wake
Mungu ndio anasababisha watu wapate mimba zisizotarajiwa?Mungu aepushilie mbali! Hamna sababu ya kunifanya nitoe mimba. Mungu akinijalia nikapata mimba ntailea kwa hali na mali.