Aunt Ezekiel: Sikumbuki idadi ya mimba nilizotoa

Aunt Ezekiel: Sikumbuki idadi ya mimba nilizotoa

Hivi hakuna sheria ya mtu kukamatwa akitoa mimba kwa makusudi? huyu si ametangaza hadharani kabisa!
 
Hv nafsi huwa haziwasuti??? Na pale wapaoamua kuzaa huyo mtoto atasema ni kwanzaaaaa au na kufurahi kawa kapata mtoto???najiuliza tu.
 
Sasa kama ukumbuki sisi tufanyajee..? Ujue laana yako ipo pale pale tu Motoni kwa kuua kiumbe kisichokua na hatia..
 
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi.



Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.


“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.

Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.

Yeye ndio anayetoa majina kwa watoto wake na sio mme wake
 
Wengi mnatoa povu kwa ukweli aliosema dada wa watu, lakini ni nani anayeweza kuwa wa kwanza kumpiga jiwe? Nani mwenye umri kama wake ambaye hajawahi kutoa, kushauri itolewe au kusaidia kwa njia moja au nyingine kutoa mimba? Sisi wanaume tuna mchango mkubwa sana kwenye kutunga mimba sizizohitajika na kuwa sbb ya hizo mimba kutolewa au kushawishi itolewe.
 
Mungu aepushilie mbali! Hamna sababu ya kunifanya nitoe mimba. Mungu akinijalia nikapata mimba ntailea kwa hali na mali.
Mungu ndio anasababisha watu wapate mimba zisizotarajiwa?
Anyway.. Dada yangu usije ukanielewa viwanda. Sipo kwa kuku offend i love you.
Sasa nikupe mtoto?
 
Back
Top Bottom