Aunt Ezekiel: Sikumbuki idadi ya mimba nilizotoa

Du hiz kiki za msimu huu had beny saanane kashasahaulika mung tuokoe nahili janga la CCM
 
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi.

Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.

“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.

Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.

Hawa watoa mimba ni wabaya kuliko wauza madawa ya kulevya picha inatakiwa ianzie hapa kwa huyu dada kajigeuza mfuko kwamba wanaweka yeye anatoa na kutupa mbaya sana
 
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka kwa kudai kuwa ameshawahi kutoa mimba kadhaa lakini hajui ni ngapi.

Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Cookie, akijibu swali la shabiki wake kupitia Kikaango cha EATV aliyetaka kujua idadi ya mimba ambazo amewahi kutoa, Aunty alisema hawezi kusema uongo kuwa hajawahi kutoa mimba, lakini kitu ambacho hakumbuki ni idadi ya mimba alizowahi kutoa.

“Kutoa nishawahi, nikisema sijawahi nitakuwa muongo, ila kukumbuka ni mimba ngapi ndiyo tatizo,”alisema staa huyo wa filamu.

Muigizaji huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na dansa wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, amesema kwa sasa anatamani zaidi kupata mtoto wa kiume atakamuita jina la Greyson ambalo ni jina la babu yake.

Mbona ni mtu mzima ina maana huwa hatumii vidonge au vipandikizi kuzuwia mimba?
 
Msanii aunt ezekiel amekiri alishawahi kutoa mimba kabla ya bintie aitwae cookie

16908359_1747725228890317_9135877016095031296_n.jpg

Vile vile amekanusha yeye sio mchawi ila akiwa na shida kwa kalumanzira huwa anaenda sana.
16906935_491539831234077_7546240715685101568_n.jpg

Sanaa na wasanii wetu. Hawa ndio kioo cha jamii.
 
Haishangazi...ila mwisho wa yote ni Gigy money

Yeye mimba zake zimezoea kutoka saaana hadi sikuhizi zinatokaga tu bila hata yeye kujua

Usiku ni anajifuta tu akikuta midamu damu kisha analala zake.
 
Majisifu mengine yanashangaza. Hapa anatafuta kiki ya kutoa filamu
 
Back
Top Bottom