Aunt ezekiel tena

Aunt ezekiel tena

Joined
May 7, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Nimekutana nae jana maeneo ya mwenge mtoto mzuri aisee sema kama anajichubua fulani ivi,kawa mweupeee..afu alikuw anapush toyota land cruiser,dah mtoto mkali aiseeh duh kwel kuwamilik hawa watoto lazima ujipange
 
Nimekutana nae jana maeneo ya mwenge mtoto mzuri aisee sema kama anajichubua fulani ivi,kawa mweupeee..afu alikuw anapush toyota land cruiser,dah mtoto mkali aiseeh duh kwel kuwamilik hawa rwatoto lazima ujipange

Kwanza inabidi ujizire
 
Ingekuwa na wake zetu wana jishow kama hawa wabongo movie sijui ingekuwaje,mzuri mkeo tu hata yeye ukimpiga soap soap anawaka zaidi ya huyo ezekiel
 
Back
Top Bottom