Aunty Ezekeil anasa mimba nje ya ndoa

Nyerere aliwai kutolea mfano wa waziri mdogo wa London kaonekana kutembea na kimwana mitaani hapo hapo alijiuzulu hiyo ndio maadili, sasa huyu katoka nje ya ndoa kampa msanii malaya bado mnaona sawa tu....
Nimecheka sana !
 
Naona ile Project ya kule Marekani ya Mh. Waziri wa Mali ya Siri imejibu.
 
upuuzi huu uondoeni kwenye hili jukwaa. hili sio jukwaa la mahusiano/udaku
 
si dhambi ni jambo la kupongezwa ila mazingira ya ubebaji mimba yana zibana kodi za wa TZ ni kweli na binti huyo alikiri kwenda na mh.....

Mimi sina hakika kama kweli walikwenda pamoja au vipi! ila nasimamia ukweli wa kwamba sii vyema kupenda kusema mambo ya vyumbani mwa watu iwe kweli ama sio kweli kwa mantiki ya ni wazi mpaka ujue mambo ya vyumbani mwa watu nilazima umefanya ka umbea fulani na umbea mara nyingi hugubikwa na uzushi au uongo. suala hili hatusikii MAMA mheshimiwa akilalamika iweje wewe?
 
Niko hapa mitaa ya Nyumbani kwake naona Faraja Kota amechukua mabegi tayari kabisa kwa kuondoka....Soon nitawapa yaliyo moyoni mwake akinipa nafasi ya kuongea naye....stay tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…