Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana !Nyerere aliwai kutolea mfano wa waziri mdogo wa London kaonekana kutembea na kimwana mitaani hapo hapo alijiuzulu hiyo ndio maadili, sasa huyu katoka nje ya ndoa kampa msanii malaya bado mnaona sawa tu....
Utalii wa nchi hii utatangazwa kwa njia yoyote ile .
Upuruzi mwingine! So what? Ni mkeo?
si dhambi ni jambo la kupongezwa ila mazingira ya ubebaji mimba yana zibana kodi za wa TZ ni kweli na binti huyo alikiri kwenda na mh.....
Kwani we Nyalandu ni mumeo?
................serious? ina maana alipiga peku!!!!wew amakweli hauishi dunia yetu , nahisi si mtanzania hata hili la baraka pia walikataa, subiri uitwe uncle...