mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Shost kwa hiyo ni jinsia gani?
natarajia kuiona hii habari front page ya citizen na daily news, ni habari kubwa mno
hhaaaaaaa umemuona......
Hivi wambea wenzangu binamu, Evelyn Salt, Heaven on Earth, Dinazarde....ina maana hamjaamka mpaka mida hii wakati kuna ubuyu mpyaaaa????
Hebu amkeni....vitanda sio vyenu hivo.
warumi nilimwona akiwa anaelekea sheli kuongeza mafuta kwenye gari labla tutengemee mazuri kadiri mda utakavyo enda!
Hivi wambea wenzangu binamu, Evelyn Salt, Heaven on Earth, Dinazarde....ina maana hamjaamka mpaka mida hii wakati kuna ubuyu mpyaaaa????
Hebu amkeni....vitanda sio vyenu hivo.
Great thinkers mmmhhhh. Hii nayo inahitaji thread???????? Masihara mengine banaaa
Hongera zake jamani...mtoto gani!!!
ha ha ha bin/binti nyalandu au iyobo
Kwa kweli ngoja tu nimsubiri.
Ila Insta wameweka picha ya mtoto na mama.
Ila mtoto kazibwazibwa mpaka haonekani fresh, afu kama kazaliwa njiti au sijui nimeona vibaya.....hebu ngoja niende tena
This is celebrities forum unataka kiandikwe nini???nadhan we ndo great thinker ulokosea njia....pita hivi
Sasa haonekani halafu unasema kafanana na Nyalanduu.....Hahahaaaa unanivunja mbavu jamaniii...Umbea huu....
Tupe updates
Mhhhh mkuu,hii siyo...