Aunty Ezekiel ajifungua

Aunty Ezekiel ajifungua

natarajia kuiona hii habari front page ya citizen na daily news, ni habari kubwa mno
 
natarajia kuiona hii habari front page ya citizen na daily news, ni habari kubwa mno

Gazeti la Daily Mail la Wingereza ndani ya dk 15 limeuza nakali Million 56 lenye front page ya huyu aunt
 
warumi nilimwona akiwa anaelekea sheli kuongeza mafuta kwenye gari labla tutengemee mazuri kadiri mda utakavyo enda!

Kwa kweli ngoja tu nimsubiri.

Ila Insta wameweka picha ya mtoto na mama.
Ila mtoto kazibwazibwa mpaka haonekani fresh, afu kama kazaliwa njiti au sijui nimeona vibaya.....hebu ngoja niende tena
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli ngoja tu nimsubiri.

Ila Insta wameweka picha ya mtoto na mama.
Ila mtoto kazibwazibwa mpaka haonekani fresh, afu kama kazaliwa njiti au sijui nimeona vibaya.....hebu ngoja niende tena

Sasa haonekani halafu unasema kafanana na Nyalanduu.....Hahahaaaa unanivunja mbavu jamaniii...Umbea huu....

Tupe updates
 
hahaaaaaa ndio nimeona........ Matunda ya Nyalandu yameonekana

hapo kwenye binamu ulitaka kumtaja warumi au kuna binamu mwingine

Maweeeee afu ndo nimeona muda huu....hapo ilikuwa nimtaje warumi.
Ila si unajua umbea ukizidi sana unasahau mpaka kuweka pozi...
Yaani Insta kumechafukaje.
 
Last edited by a moderator:
Sasa haonekani halafu unasema kafanana na Nyalanduu.....Hahahaaaa unanivunja mbavu jamaniii...Umbea huu....

Tupe updates

Shoga angu we acha tu.
Mke wa Iyobo naona alikesha nje ya wodi kuona sura ya 'mumewe'
Hahahahah....umenikamataje
 
Back
Top Bottom