Aunty Ezekiel Amtaka Tunda Amlipe pesa zake za pombe

asanteee
 
Wala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
nikweli Sabasaba sita alinynyasa watu mnooo aisee ..nakumbuka kuna kipindi nilikwenda moro nikakuta habari zake tu jinsi anavyowafnya watu kama misukule
 
Hahahah...story tamu balaa waendelee kutukanana tumalizie cku kwakuperuz peruz umbea
 
Alimnunualia pombe Ali Kiba, Diamond itabidi atoe hiyo hela. Aisee.
 
Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie. Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
Picha zake tu ndizo za kushangaza, siyo Real, kama vile kila siku anachapwa bakora Mahotelini kukicha...
Malaya kabisa huyu..
 
Malaya wengi wa Bongo Movie ukiwa na laki unawatafuna bila shida. Kwani hiyo pombe inauzwa shilingi ngapi nimlipie huyo mtoto wikendi hii nimtafune Coloseum Hotel. Sema vi flat screen hua sio preference zangu ila naweza kuziba macho nikakatafuna hvyo hvyo kwa kufanyaje.
 
Kutokusoma vizuri kichwa cha habari wakati mwingine unaweza kucoment sivyo.
Nilikuja speed kuchangia nikidhani Tundu kumbe Tunda.
Aisee ningelishangaa sana.
 


Laki moja unanunua nini mkuu? Hawa vikwapa hata wangekuwa wanatoa risiti hata buku kumi sinunui .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…