hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
asanteeeMwanamke anapomtukana mwanamke mwenzie k.uma ndio unajua kabisa wanawake wenyewe hawathamini kiungo chao muhim.
Kwamba k.uma ni kitu cha hovyo sana? Unakuta mwanamke akitaka kumkashfu mwanaume anamwambia ana mambo ya kike, maana yake ana mambo ya hovyo hovyo. Wanawake wenyewe hawajikubali na wanajiona kua ni watu wa hovyo.
Hatari sana.