Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Umewakilisha mawazo yangu mkuuDah,mkuu you are very kind,,,watu kama ww mpo wachache mno sikuizi,,to be honest ningekua mimi ningetaka something in return
Hahaha ulomsaidia alikuwa tunda au muuza matundaKuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.
Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha ulomsaidia alikuwa tunda au muuza matunda
Kumbe alimnunulia dai pombe da mange ameshaweka huko
Mbona hai make sense jamani. Tunda amnunulie diamond. Diamond Pombe ambayo diamond anai advertise.Kumbe alimnunulia dai pombe da mange ameshaweka huko
Mkuu nikecheka hapo kwenye kutoa lecture kama prof wa university.Mi nilivyoona Pombe nikafungua haraka haraka nilidhani ni Magufuli, kumbe bia? Kama hana hela za bia tunamkaribisha kwenye chama chetu cha Gongo, jero tu unatoa lecture kama professor wa University.
Sabasita Kimaro alikuwa na mbwembwe huyu askari. Wakazi wa Arusha late 80s and early 90s mtakuwa mnakumbuka vizuri ubabe wa huyu jamaa.Wala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
Una hakika gani km alimlipia..wa tz kwa pongezi za haraka hamjamboDah,mkuu you are very kind,,,watu kama ww mpo wachache mno sikuizi,,to be honest ningekua mimi ningetaka something in return
Mi mwenyewe huwa nashangaa wanawake kudharau k zao na kuzitukanisha.Mwanamke anapomtukana mwanamke mwenzie k.uma ndio unajua kabisa wanawake wenyewe hawathamini kiungo chao muhim.
Kwamba k.uma ni kitu cha hovyo sana? Unakuta mwanamke akitaka kumkashfu mwanaume anamwambia ana mambo ya kike, maana yake ana mambo ya hovyo hovyo. Wanawake wenyewe hawajikubali na wanajiona kua ni watu wa hovyo.
Hatari sana.
Iko wp!Hatimaye Tunda amemuanika Sponsor wake.... Video yao ya mahaba wakipigana madenda imevuja mtandaoni wakifanya yao Na Billionaire Kinje..
Sana hebu ona ule ubabe Leo mwanae anadhalilika hivi!! Duniani kuna Malipo aisee.Sabasita Kimaro alikuwa na mbwembwe huyu askari. Wakazi wa Arusha late 80s and early 90s mtakuwa mnakumbuka vizuri ubabe wa huyu jamaa.