Aunty Ezekiel Amtaka Tunda Amlipe pesa zake za pombe

Aunty Ezekiel Amtaka Tunda Amlipe pesa zake za pombe

Kuna siku nilikua hotel fulani hapa DSM nilishuhudia huyo mtoto Tunda akidhalilishwa kwa kushindwa kulipa bill ilibidi nimsaidie.

Amejiingiza kwenye maisha ya gharama na majuto sana!!
Hahaha ulomsaidia alikuwa tunda au muuza matunda
 
26868204_204078050143230_1716306379301453824_n.jpg
 
Mi nilivyoona Pombe nikafungua haraka haraka nilidhani ni Magufuli, kumbe bia? Kama hana hela za bia tunamkaribisha kwenye chama chetu cha Gongo, jero tu unatoa lecture kama professor wa University.
Mkuu nikecheka hapo kwenye kutoa lecture kama prof wa university.
 
Huwa amekuwa anapiga sana picha akiwa maliwato, sasa kumbe na lugha zake nazo ni za mulemule.
 
Halafu hako katunda kadogo ila kutembea na yule kinje mbaba mzima.na kinje mke wake mzuri mno
 
Wala sikushughulika naye bcoz she is not my class. Tulikua wengi binti alitorokwa hotel. Naamini ni Malipo ya laana na dhambi za babake. Askari sabasita alinyanyasa na kuonea watu sana! Hiki ndicho anakilipia.
Sabasita Kimaro alikuwa na mbwembwe huyu askari. Wakazi wa Arusha late 80s and early 90s mtakuwa mnakumbuka vizuri ubabe wa huyu jamaa.
 
Mwanamke anapomtukana mwanamke mwenzie k.uma ndio unajua kabisa wanawake wenyewe hawathamini kiungo chao muhim.

Kwamba k.uma ni kitu cha hovyo sana? Unakuta mwanamke akitaka kumkashfu mwanaume anamwambia ana mambo ya kike, maana yake ana mambo ya hovyo hovyo. Wanawake wenyewe hawajikubali na wanajiona kua ni watu wa hovyo.

Hatari sana.
Mi mwenyewe huwa nashangaa wanawake kudharau k zao na kuzitukanisha.
Ndo mana mi nimeconclude kuwa, ukiona demu anakuzungusha kukupa k yake, ujue amejua ni mbaya na mbovu, ukiipiga hutarudi tena na utam dharau.
 
Back
Top Bottom