Aunty Ezekiel anaswa tena na mume wa mtu

Global+bongo movie=mauzo ya global. Bila kutengeneza skendo za bongo movie global hawawezi kuuza

Mi najiulizaga, ina maana kule airport akina shigongo walienda kwa ajili ya aunty au walikuwa kikaz? Na sidhan kama walienda tu airport bila kazi hawa wanajuana mbwa hawa, mfyyy
 
Mi najiulizaga, ina maana kule airport akina shigongo walienda kwa ajili ya aunty au walikuwa kikaz? Na sidhan kama walienda tu airport bila kazi hawa wanajuana mbwa hawa, mfyyy

Binamu imelda alimsindikiza aunty..unadhan tungejuaje ameenda marekan?si mpaka ajitangeze..mastaa wa bongo movie ni janga kubwa changanya na global ni shidaaa.
 
Binamu imelda alimsindikiza aunty..unadhan tungejuaje ameenda marekan?si mpaka ajitangeze..mastaa wa bongo movie ni janga kubwa changanya na global ni shidaaa.

Imelda nae chakubimbi, mar ajifanye shoga wa mastaa baadae anawaponda tena, kuna siku mama ubaya alimfuata kazin kwake akamchamba nashangaa siku izi mashoga tena

Huyo nae cheusi dawa uko marekani kaenda kufanya nn au ndo biashara imenoga ya kuuza mmwepu
 
Imelda sio chakubimbi...

Ni patners na bongo movie...

Maana wanatengeneza scandals mavimavi ili wauze magazeti

Sasa sijui bongo mavii sorry bongo movie wanalipwa sh ngapi



 
Dinazarde leo yamenikuta leo mwenzio khaa sina hamu, ningetolewa ngeo leo, yani mdomo huu sina hamu, nshazoea jamii forum natukana weee naambulia ban, sasa nikajisahau leo nikajua nipo JF wacha nichambane na mtu kwenye dala dala leo?, nimepata kipigo hiko hakyanani sina hamu,ikabidi nichomoke kupitia dirishani yaani mmh, kisa chenyew sasa, kwel mdomo huu
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhaaaaa binamu nawe maugomvi yaninii khaa,pole umeumia mno au,ina maana nguvu uliziacha home au ulimsamehe ulikua hujala tu
 
Last edited by a moderator:
Imelda sio chakubimbi...

Ni patners na bongo movie...

Maana wanatengeneza scandals mavimavi ili wauze magazeti

Sasa sijui bongo mavii sorry bongo movie wanalipwa sh ngapi

Ndo maana nashangaa, kama ile ishu ya florah kukomba vitu vyote ndani na kusepa navyo, niliona hadi picha za ndani ya hiyo nyumba ilivyokuwa nyeupe, nkajiuliza anayewap access ya kuingia ndan kwa mtu na kupiga picha ni nani kama sio mastaa wenyew? Hawa watu ni wajinga mno, nasikia ni kiki tu ya flora anataka kugombea ubunge mwakan so anajicelebritisha kimtindo
 
Itakua anajuaa sana na kulamba kama mbwa

huyo moze itakuwa anajua ku.----- au aunt kakosa bwana wa kumtoa genye

Tatizo warembo wengi wanapenda sana fedha kwahiyo wanajikuta wanaangukia kwenye watu waliowazidi umri mara mbili au tatu yake,watu wazima hao wenye pesa wanakuwa na stress nyingi sana za kutafuta hela na kuwa on top so wanakuwa nguvu za kugonga show hawana sasa huyo mremo aunt labda alionja ya huyo mcheza show na kama unavyojua mario akiona sehemu kuna umate umate atafanya kergel exercise mwezi mzima,atapiga push-up za kufa mtu,karanga,michuzi ya pweza mwezi mzima,atafanya jogging mwezi akija kumkamata huyo mtoto atampigisha alaji ya kufa mtu hapo hadi demu ata-squirt ambapo demu anachanganyikiwa na kuwasahau wacheza viduku kina desmond na jack unguja,show ya kwanza 30mins to and fro chezea marioooooooo!!
 

Ahaaa binamu..kumbe ndo weewee
 
Last edited by a moderator:
Asituchefue roho hana mpya,duka lake halina bidhaa mpya..............
 
Am so happy WARUMI umerudi tena.mweee umbea kipaji jamani na mwenye talent yake ndo karudi sasa kutanoga tena kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…