warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
Global+bongo movie=mauzo ya global. Bila kutengeneza skendo za bongo movie global hawawezi kuuza
Mi najiulizaga, ina maana kule airport akina shigongo walienda kwa ajili ya aunty au walikuwa kikaz? Na sidhan kama walienda tu airport bila kazi hawa wanajuana mbwa hawa, mfyyy