Huyu dada ameandikwa sana kwenye magazeti kwa vituko vingi. Nilikuwa sijamwona kwenye movie. Nilipoanza kumwangalia nina admit nilikuwa na 'negative perception' kuhusu yeye nikijiambia nisubiri kusikitishwa na 'acting' yake. Ulitokea kinyume. Nimefurahishwa na uwezo wake wa ku 'act' na natamani kuona movie zake nyingine. 'Title' yake siikumbuki
lakini ali 'act kama binti kikojozi aliyepata shida kuolewa kwa tatizo hilo. Sasa nikitafakari anavyoonekana kwenye media napata hisia kwamba anaonewa. Si support mienendo mibaya. Natamani hawa ma star wawe role models kwenye kazi zao na kwenye maisha yao. Bahati mbaya ma star wengi duniani, sio Tanzania tu, wana vituko na tabia mbaya. My conclusion on Ezekiel: Her positives also be covered and not only the negatives. Ezekiel should rectify her image by behaving well in her
private life.