Aunty Ezekiel Azidiwa Na Presha Alazwa Hospitali

Aunty Ezekiel Azidiwa Na Presha Alazwa Hospitali

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuanguka ghafla kwa presha akiwa ‘location' jijini Tanga, Risasi Jumamosi lina habari hii.

Kwa mujibu wa chanzo, Aunt akiwa katika harakati za kuigiza filamu anayocheza na Amri Athuman ‘Mzee Majuto', ghafla alianguka na kukimbizwa katika Hospitali ya Gesha jijini humo.

Baada ya kuzipata habari hizi, mapaparazi wetu walimtafuta Aunt kwa njia ya simu na alipopatikana alikiri kuanguka kutokana na kusumbuliwa na presha ya kushuka.

"Kweli nilikuwa shutting na Mzee Majuto, ghafla nilianguka na kukimbizwa hospitali, wameniwekea dripu mkononi ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri," alisema Aunt.

Chanzo: bkuHABARI
 
"Kweli nilikuwa shutting na Mzee Majuto, ghafla nilianguka na kukimbizwa hospitali, wameniwekea dripu mkononi ila namshukuru Mungu, naendelea vizuri," alisema Aunt.

Chanzo: bkuHABARI

Mungu ampe afya njema
 
Hawa wasanii wetu wana nini siku hizi jamani?Uani mtu akiwa hospital mpaka na mapicha anatupia,au tuseme wako addicted na social networks kusema hata asipoingia kwa siku moja ataumwa zaidi?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom