Nisipompata Aunt Ezekiel kwa shamba la babu Bwama namuuzia shamba la bibi Chole.
Jaman salam kwanza binamu , za hasubuh?
Mbona usisumbuke kuuza shamba binamu? Wew siku kajitoe ufahamu ukalale Serena hotel au hata pale double tree halafu mpigie simu super staa yeyote mwambie akufuate apo , utaona watakavyotoka mbio , sehemu tu uliyolala watajua bila shaka jamaa ni billionaire kumbe Yahaya, mastaa ndo wanavyoliwaga na kutapeliwa
Kuhusu soko la filamu, nadhani tutarajie mdororo zaidi kutokana na tabia za "kitanzania" za akili mgando na fikra finyu za utendaji wa mambo..kuanzia walio na mamlaka hadi walio chini, na hii cancer ipo pia kwenye michezo mingine kama riadha, ngumi, soccer....tutabaki kusindikiza wengine mpaka hapo tutakapopata akili timamu.