Aunty Ezekiel: Bongo movie hailipi, "MADANGA" ndo wanaoniweka mjini

Aunty Ezekiel: Bongo movie hailipi, "MADANGA" ndo wanaoniweka mjini

Nisipompata Aunt Ezekiel kwa shamba la babu Bwama namuuzia shamba la bibi Chole.

Mbona usisumbuke kuuza shamba binamu? Wew siku kajitoe ufahamu ukalale Serena hotel au hata pale double tree halafu mpigie simu super staa yeyote mwambie akufuate apo , utaona watakavyotoka mbio , sehemu tu uliyolala watajua bila shaka jamaa ni billionaire kumbe Yahaya, mastaa ndo wanavyoliwaga na kutapeliwa
 
Bina siku hizii una salamu heee !!!

Hata maofisini watu wakionana hasubuh si lazima salamu muhimu? Sasa naamka na post tu ata sijui kamanda wangu geniveros kaamkaje Leo? Unadhan ipo poa?
 
Last edited by a moderator:
Mbona usisumbuke kuuza shamba binamu? Wew siku kajitoe ufahamu ukalale Serena hotel au hata pale double tree halafu mpigie simu super staa yeyote mwambie akufuate apo , utaona watakavyotoka mbio , sehemu tu uliyolala watajua bila shaka jamaa ni billionaire kumbe Yahaya, mastaa ndo wanavyoliwaga na kutapeliwa

Kumbe wapo rahisi hivyo du, Asante kwa kunipa hint binamu.
 
Kuhusu soko la filamu, nadhani tutarajie mdororo zaidi kutokana na tabia za "kitanzania" za akili mgando na fikra finyu za utendaji wa mambo..kuanzia walio na mamlaka hadi walio chini, na hii cancer ipo pia kwenye michezo mingine kama riadha, ngumi, soccer....tutabaki kusindikiza wengine mpaka hapo tutakapopata akili timamu.

Mdau umeongea point lakini hatutapata akili timimu ukizingatia camcer iliyopo kupona kazi labda vizazi vijavyo ndio maana mtu kama diamond ameonyesha mafanikio ndani na nje ya Tanzania Tayari wenye wivu weshaanza kumzomea kila akipanda jukwaani ilimradi awe chini badara ya kumsapoti
 
Back
Top Bottom