Ila mtu akikwambia "ufe wewe na mwanao anaezaliwa"" ni ngumu kumeza jamani ukizingatia wamama wenye mimba wanakufa kila siku wakijifungua. Ningepata hofu pia. Thats how bad watu walimu wish.
Naye alizidi kutwa kuonesha mtumbo kama kitu gani sijui.Haoni hata aibu kaka yake kuona mtumbo wake tena akiwa na brazier na tight tu! Sisi ni waafrika hivyo lazima tuheshimu desturi zetu.
Kashazaa baby gal
Watu gani wamseme bwana, azae huko.