Aunty Ezekiel: Eeh Mungu nisidie nijifungue salama

Aunty Ezekiel: Eeh Mungu nisidie nijifungue salama

Ila mtu akikwambia "ufe wewe na mwanao anaezaliwa"" ni ngumu kumeza jamani ukizingatia wamama wenye mimba wanakufa kila siku wakijifungua. Ningepata hofu pia. Thats how bad watu walimu wish.

Naye alizidi kutwa kuonesha mtumbo kama kitu gani sijui.Haoni hata aibu kaka yake kuona mtumbo wake tena akiwa na brazier na tight tu! Sisi ni waafrika hivyo lazima tuheshimu desturi zetu.
 
Naye alizidi kutwa kuonesha mtumbo kama kitu gani sijui.Haoni hata aibu kaka yake kuona mtumbo wake tena akiwa na brazier na tight tu! Sisi ni waafrika hivyo lazima tuheshimu desturi zetu.

Inabidi tuukubali uzungu sasa maana uafrica unakufa taratibu. Hamna anaejua full kiswahili siku hizi, basi tuzoee tu
 
Back
Top Bottom