Aunty Ezekiel: Natamani kupata mtoto

Aunty Ezekiel: Natamani kupata mtoto

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel aka cheusi dawa amesema anatamani iwe leo au kesho apate mtoto kwani umri wake unaruhusu.

Akipiga stori mbili- tatu na paparazi wetu, Aunty alisema kuwa anatamani kuwa mama si kwa kufuata mkumbo bali anataka kuwa mama kwani sasa ni muda muafaka kwake.

"Natamani kwelikweli na mimi siku moja niwe mama wa mtoto sema tu sijabahatika kupata ila naendelea kumuomba Mungu ili ndoto zangu ziweze kutimia , " alisema Aunty Ezekiel .
 
Duu ......... huyu si ndio yule aliyesema hajaona mwanaume anaeweza kumzalisha ??????

Ndo mastaa wetu hao, kesho atakwambia hataki kuzaa bado yupo yupo kwanza. Huyu kwanza alikuwaga na mimba sijui aliipelekaga wapi kama hakutoaga
 
Cheusi dawa Kigodoroni, bora kajisemea ukweli anataka kuzaa maana ndoa kashajua imemshinda

mmh cheusi dawa alivyojibinua jamani hawa mastaa Hawa...

ndoa ishamshinda maana anabanjuka na njemba moja hivi...
 
Last edited by a moderator:
mmh cheusi dawa alivyojibinua jamani hawa mastaa Hawa...

ndoa ishamshinda maana anabanjuka na njemba moja hivi...

AHAha mimi hii picha yake ndo my fav, yan nikiwa na stress uwa naichek nacheka sana, sijui aliwaza nini kujibinua ivi au ndo mzuka wa kigodor

Si nikisikiaga anabanjuliwa na pet au pale alikuwa anasafisha utoko wa uko chini
 
Kwel kigoro na huko kujibinua ni nomaa....haya aunt kazana kutafuta hyo mimba...akiwa mjamzito sijui atachezaje kitorondo
 
Huyo mtoto atakaezaliwa asiambiwe alikuwa anafanya mama ake
 
AHAha mimi hii picha yake ndo my fav, yan nikiwa na stress uwa naichek nacheka sana, sijui aliwaza nini kujibinua ivi au ndo mzuka wa kigodor

Si nikisikiaga anabanjuliwa na pet au pale alikuwa anasafisha utoko wa uko chini

mmmmh binamu wapenda mibinuko ya hivyo nini... kajibinua hasaa alijua mfungo waanza ko kigodoro kingine hadi mwezi uishe akajiachia hasa .

huyo Njemba sio petit binamu
 
Huyu mwaamke sijui ana mkosi gani kwa wanaume,yule Small alokua nae yuko jela Dubai..... bora atafute yoyote amsitiri kwa japo mimba........
 
Kinachomshinda nini wakati vitendea kazi anavyo au jamaa anapiga risasi za baridi
 
mmmmh binamu wapenda mibinuko ya hivyo nini... kajibinua hasaa alijua mfungo waanza ko kigodoro kingine hadi mwezi uishe akajiachia hasa .

huyo Njemba sio petit binamu

Nakumbuka hiko kigodor kilikuwa kabla ya siku moja mfungo kuanza so naona ndo walikuwa wanamalizia ufirauni wao, mama ubaya alivyokuwa anamkamatia kajala sasa dah full laana

Huyo njemba nan tena
 
Back
Top Bottom