G Sam nimekupenda buree binamu, yani pale lamada ni pachafu sijawahi kuona, mashoga watangazaji(majina coming soon ni shiida) na mastaa kibao mashoga wanafanyiaga vikao vyao pale, na ndio meeting place yao yani kuna wazungu ,waarabu na kila aina ya watu, binamu uchafu unaofanyika kule hadi naogopa kuyaongea humu , halafu nina bonge la udaku kuhusu FRANK GONGA na party yake anayoaandaaga ya kishoga ya WHITE PRIVATE PARTY, yani nasikia hiyo party ni full ufirauni ,yan hawa mastaa wet sijui ndo uzungu au njaa, na sasa ivi nasikia hiyo party inafanyikia ulaya uko kwa mashoga wenzao.
Hiyo ya mama ubaya wema ntakufuata kule ikuluni tupeane maudaku ya kiutu uzima, watu wasije kupofuka macho bure