Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

Hata shetani anatuogopa sisi wanadamu mana tumeanza fanya mambo ambayo yeye hakuyafanya
 
Mhh huyo mumewe sasa ni boga ? Hafai ? Maana unaposema time ya kuzaa imefika na unatafuta shahawa nje na mume unaye ..mana yake mume si riski ..yupo tu
 
Mme wake yuko jela ajili ya unga akitoka anakuja kula makombo na maisha yanaendelea.Labda awe kafisika.
 
Namuangalia nyalandu kwenye hii picha nawaza tu, hivi asingekuwa waziri angefananaje? Faraja angemkubali awe mumewe? Nawaza tu jamani.
 
Mgombea urais kupitia ccm kazaa na msanii halafu wanazuga mimba ya mkata viuno wa diamond.. Watz wa sasa sio kama wa mwaka 47... Na akili za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Haiwezekani, hivi kwa nini Faraja asiombe mtoto apimwe DNA?
 
Haiwezekani, hivi kwa nini Faraja asiombe mtoto apimwe DNA?

Sio rahisi kama unavyofikiri. Na sasa hivi mzee anafight kuwa prezidaa, they won't tarnish their reputation. Hilo atakufa nalo tu rohoni
 
Haki ya mungu! ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…