Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika mila za kiafrika hiyo haifai kabisa
Namuangalia nyalandu kwenye hii picha nawaza tu, hivi asingekuwa waziri angefananaje? Faraja angemkubali awe mumewe? Nawaza tu jamani.
Eti naye anataka kuwa rais!!!!!!!!!!
Haiwezekani, hivi kwa nini Faraja asiombe mtoto apimwe DNA?
Haka kakijana kanaonekana kapo vzr kwenye kucheza na papuch...