Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo lakini ndoa yangu ipo palepale

Mhh huyo mumewe sasa ni boga ? Hafai ? Maana unaposema time ya kuzaa imefika na unatafuta shahawa nje na mume unaye ..mana yake mume si riski ..yupo tu

Mumewe kafungwa jela miaka mingi na umri unasogea
 
huu demu ni k.u.m.a kweli yaan kaolewa afu anajisifu kuzaa na mwanamume mwingine na anasema ndoa ipo palepale labla kama alomua alikuwa shoga na alikuwa anatafuta kick na heshima mtaani.
 
Back
Top Bottom