Aunty Ezekiel: Wema hana msaada wowote kwangu

Aunty Ezekiel: Wema hana msaada wowote kwangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa wa kike wa filamu bongo, Aunt Ezekiel, ambaye ni shoga mkubwa wa miss tanzania 2006 Wema sepetu ameibuka na kutamka bayana yeye si mpambe wa mrembo huyo, wala sio mbeba mikoba wake na wala haishi kwa kusubiri pesa zake anazohongwa na Diamond.

Staa huyo alifunguka kuwa yeye hausiki na kumpeleka mwenzake kwenye starehe kwani wote huenda kwa matamanio yao binafsi, Aunt aliwaponda wote waliokuwa wakimuhusisha na kauli ambayo ilitolewa na Diamond kwamba Wema anapotezwa na mashoga zake wapenda starehe.

" wajinga wakubwa, watu wananihusisha mimi na masuala ya wema na Diamond. Mimi ni staa mkubwa na wema ni staa , nimeanza kuhangaika na maisha mda mrefu sio mpambe wa wema , kwanza ana nini cha ziada cha kunipa hadi niwe mpambe wake?

Nina maisha yangu na miradi yangu toka kitambo, kama kwenda kwenye starehe Wema anaenda kwa matamanio yake na mimi na matamanio yangu, siishi kwa sababu ya pesa za diamond wala wema, masuala yao ya mapenzi hayanihusu kabisa, wayaongee wayamalize kama kuchukua hatua wachukue sio kuongelea pembeni, mimi sibembelezi urafiki kwa sababu ninayamudu maisha na ni STAA.

Tena ole wao wanaonijua aunt na mihangaiko yangu siwezi kufikiria ujinga huo, sitegemei hela ya wema wala Diamond wake, wakome kabisa tena wanikome na iwe mwisho" Alisema staa huyo aliyefanya vizuri kwenye movie ya Young billionaire.
 
Safi sana cheusi dawa, wape makavu hao, kwani huyo mama ubaya yeye ni mtoto mpaka umpeleke wewe club? Si mnaendaga kwa matamanio yenu binafsi, na huo ushoga wenu kwani mlilazimishana? Si wote mmekutana malaya na wapenda starehe ndo maana zikaiva? Ebu ndomo akutue kwanza akupe break, kama demu wake hajitambui atapata wapi marafiki wanaojitambua? Maji si ufuata mkondo au sio? Tena wakukome cheusi dawa wa watu, kwenye vigodoro mnaenda wote na kumanua kwa raha zenu wala hujawahi kumshikia fimbo, ila na wewe si useme kweli kwani pesa za ndomo hujawahi kula? , na kule south mlikoenda si baba ubaya ndo aliwalipia nauli au ushasahau na wewe, mmh aya mtajijua wenyew uko

Na wewe baba ubaya kazi kumsema wema vibaya huyo shoga yako rommy jones anafanya biashara gani mjini zaidi ya huo u dj fake na kupenda starehe kama demu wako? Ivi wema na rommy wanatofauti gani mpaka umseme aunty ezekiel? Nyie si mnapigaga ma selfie wote na shemeji yako aunty leo inakiwaje unamponda? Leo ndo unajua mponda starehe siku zote ulikuwa hujui? Ndomo ebu acha unafki bhana wewe.
 
Huyu nae hana tofauti na Wema.
 
Ivi hawajaachana bado?@warumi nimeahidi kulala uchi.kona baa cku tatu hawa jamaa wasipoachana...bila kusahau mtandao pendwa ukiwa juu
 
Ni kweli bwana watu wanamlaumu tu Aunt Wema naye ni mtu mzima ina maana anti ndo huwa ana mbeba mgongoni na kumlazimisha si mawazo yake mwenyewe na Wema ingetakiwa awe anasikiliza ushauri kuanzia na wamama yake downfall zake na kutokusikia tusisingizie wengine bwana domo mwenyewe huwa anakutana nao kila siku kwanini asiwaonye mpaka akawaseme mtandaoni hajatumia akili naye mswahili tu
 
mimi hawa huwa wananishangaza sana,yaani kutembeza papuchi hovyo wanaona dili,halafu huyu dogo ndomo watamfilisi hadi auze nyumba,akae akijua kuwa,ustaa una mwisho,si miaka yote ataendelea kung'aa tu,ngoja siku yakimkuta atakoma kuringa,alimpa gari marehemu mzee ngurumo wakati baba yake hata baiskeli hana,ngoja nimlime barua nyingine.
 
Ni kweli bwana watu wanamlaumu tu Aunt Wema naye ni mtu mzima ina maana anti ndo huwa ana mbeba mgongoni na kumlazimisha si mawazo yake mwenyewe na Wema ingetakiwa awe anasikiliza ushauri kuanzia na wamama yake downfall zake na kutokusikia tusisingizie wengine bwana domo mwenyewe huwa anakutana nao kila siku kwanini asiwaonye mpaka akawaseme mtandaoni hajatumia akili naye mswahili tu

Ndomo anajishaua tu wakati wanajipaga wote selfies wakiwa batani, kama starehe wote wanapenda asimlaumu aunty , huyo wema angekuwa hapendi starehe asimgekuwa na marafiki kama aunty ila kwa kuwa na yeye anapenda starehe ndo maana wanapatana
 
hahahaha umerudi kwa spidi 1000 kwenye kona pyeeeeee warumi. south si domo aliyewapeleka may be matumizi ya kule. ofa ilitolewa na fastjet ambao walimgharamia diamond na familia yake ambayo ingemsindikiza kwa tuzo. wakubali wakatae hao shogaze wema wakiwa nae na wao wanapata umaarufu flani kwani follower wa wa wema wanawapa sapoti pia. muone kajala siku hizi hata akiweka post comment hata 20 hazifiki tena hapo ndugu wanacomment pia.

cheusi dawa aachane na wema afanye yake kwani hata sisi hatutaki awe na wema kwani ndoa imeshamshinda ila soon tutamsahau midomoni mwetu.
 
Last edited by a moderator:

Hata kama walilipiwa na fastjet, bado ni kwa mgongo wa diamond binamu, maana fastjet hawakumpa offer aunty bali ni diamond, na diamond ndo akawapa shavu.

Sasa binamu na wewe mambo ya follower yamekujaje, hahaha ahahah!!! , Ndomo amkanye demu wake maana asitegemee wema awe na marafiki wa maana wakati yeye mwenyew ndo wale wale, mtu maisha yako mwenyewe mpaka mashabiki wanakuambia cha kufanya? What a shame to a celebrity? , amuache cheusi dawa wetu kama mahusiano yamemshinda ni yeye wala sio aunty.

Kama anajua aunty anampoteza wema hiyo offer ya fastjet kwa nini alimualika aunty kama sio unafiki? Mashabiki wamempa ukweli anamchezea wema na yeye kaamua kumtupia lawama aunty, aunty lile jembe linapiga mishe kibao apa town na sio goi goi kama wema, nakumbuka toka kitambo alikuwa anapiga pesa hata kabla hawajawa marafiki na wema
 
Last edited by a moderator:
Hv kwanza ndoa yake hyo aunty ipo kweli? Kana kweli bado ipo basi huyo mumewe ana roho cjapata kuona
 
Halafu huyo mumewe mbna kma low betri vile,nliona picha zke ngoja warumi atupe jibu

Huyo mumewe uko dubai nasikia ni chakula ya watu hana lolote, aunty anaenda kulishwa bata kwa pesa za mume wa mume wake
 
Back
Top Bottom