Dah kuna kipindi huyu muigizaji alikuwa juu sana apa bongo,alikuwa hakamitiki kwa ustaa na level ya juu aliyokuwa nayo apo awali,ki ukweli aunt anajua sana kucheza na camera asikwambie mtu,she is the best among them all,kama unabisha kacheki MREMBO KIKOJOZI,YOUNG BILLIONARE na movie nyingine kibao alizocheze huyu bidada,yaan uwa habaatishi wala hana usista duu mbele ya camera,ila ivi karibuni kachuja sana,hana thamani kama ilivyokuwa apo awali ,ila kwangu mimi huyu ndiye msanii wa kike mkali na ninamkubali.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums