Aunty Ezekiel

Aunty Ezekiel

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dah kuna kipindi huyu muigizaji alikuwa juu sana apa bongo,alikuwa hakamitiki kwa ustaa na level ya juu aliyokuwa nayo apo awali,ki ukweli aunt anajua sana kucheza na camera asikwambie mtu,she is the best among them all,kama unabisha kacheki MREMBO KIKOJOZI,YOUNG BILLIONARE na movie nyingine kibao alizocheze huyu bidada,yaan uwa habaatishi wala hana usista duu mbele ya camera,ila ivi karibuni kachuja sana,hana thamani kama ilivyokuwa apo awali ,ila kwangu mimi huyu ndiye msanii wa kike mkali na ninamkubali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi kiukweli nawakubali wasanii wote wanaofanya uigizaji kazi,japo mara nyingi wanabugi,ila kidogo kidogo tutafika!
 
Kweli aisee nampenda sana muigizaji huyu kuna ile moja ameigiza na mboto cjui ndo 'nampenda mke wangu,sikumbk jna vzuri so nice! Sijui yupo wapi nowdays!!kmyaaa!
 
Dah kuna kipindi huyu muigizaji alikuwa juu sana apa bongo,alikuwa hakamitiki kwa ustaa na level ya juu aliyokuwa nayo apo awali,ki ukweli aunt anajua sana kucheza na camera asikwambie mtu,she is the best among them all,kama unabisha kacheki MREMBO KIKOJOZI,YOUNG BILLIONARE na movie nyingine kibao alizocheze huyu bidada,yaan uwa habaatishi wala hana usista duu mbele ya camera,ila ivi karibuni kachuja sana,hana thamani kama ilivyokuwa apo awali ,ila kwangu mimi huyu ndiye msanii wa kike mkali na ninamkubali.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Siku moja tuongelee vinu/papuchi za hawa bitches
 
Back
Top Bottom