GE2025 Aunty LULU ahimiza amani na kukemea maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo lulu ni nani anayemfahamu? Hana impact yoyote! Kuna watu wakitema bungo kunakuwa na mtikisiko kama sio mtetemo..... sio hawa wadangaji, akinunuliwa makange, akapelekwa hotel nzuri ya ufukweni akakazwa vizuri na kunyweshwa savana anasema ccm mbele kwa mbele
 
Aunty Lulu kaonyesha uzalendo wa hali ya juu. Hata Heche pia kupita Sirari bila kugonga passport anitumia akili mingi kukwepa maandamano ya kihuni.
 
Huyu alikuwa anatoa taarifa kwamba kuna watu wanamtafuta, akatoka anapoishi na kukimbilia sijui mikoa gani huko, lakini alikuwa anafuatiliwa na hao watu na sasa wamemkamata, hapo yupo chini ya ulinzi na anasoma vilivyoandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…